Recent content by manher

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa masomo ya biashara huyu hapa

    Nina shida ya kazi ya kufundisha masomo ya biashara ( o level hadi A level) , mkoa wa daresalaam , kwa masomo ya commerce na book keeping elimu yangu ni degree ya (bed com ) kutoka chuo kikuu cha Dodoma , uzoefu mwaka mmoja sasa.mawasilianao email sweya6@gmail .com or 0713423475
  2. M

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhari wadau,

    Ushapita ndugu yangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya haraka ya Wafanya kazi

    Jk alisema malufuku wakala wa ajira inatakiwa usaili akafanye anapo kwenda kufanya kazi na sio kwenu jamani . Kwani hapo kuna dalili za wizi kuweni makini ndugu zangu na hawa watu kwani utakuta unalipwa mshara na unakatwa kwa ajili ya teacher junction ambapo ni wizi kwa serikali na pia kwa...
Back
Top Bottom