Recent content by MANGWETI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Wa Bunge La Katiba Watoe Mawasiliano Yao.

    Mawasiliano Ya Simu Au Email Za Wajumbe Wakatiba Ziwekwe Wazi ili wananchi tuwape hoja za kulijenga taifa badala ya kunda bungeni kujadili maswala yao binafsi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sheria zetu zinalega wapi hadi mashoga waongezeke na kuzidi kutamba tz?

    Ni Aibu Sana Taifa Linaloongozwa Kwa Maadili Yaliyojengeka Miongoni Mwetu, Viongozi Wa Dini, Waserikali (mawaziri Akiwemo Bernad Membe) Wamewahi Kutoa Matamko Mara Kadhaa Kupinga Vitendo Vya Ushoga Lakn Hakuna Cha Maana Hadi Sasa Kilichofanywa Kudhibiti Suala Hilo. Ni Kauli Za Kisiasa. Je Sheria...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Soko Kubwa La Vitunguu Mombasa

    Naombeni Mnisaidie Kwa Anayefahamu Juu Ya Soko La Vitunguu Mombasa Nasikia Linalipa .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Boxer Inahitajika

    Natamani Kununua Mpya Lkn Sina Pesa Kununua Mpya. Kama Nitapata Iliyo Ktk Hali Nzuri Nitafurahi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Boxer Inahitajika

    Shine inaelekea we si sawasawa na umekosa ustarabu na lugha ya staha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Inahitajika

    Ebu Nipe Mawasiliano Yako Tuongee We Wa Boxer.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Inahitajika

    Ebu Nipe Mawasiliano Yako Tuongee.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je ni boxer au sanlg?

    Wadau Naombeni Mnijuze Ipi Ni Piki2 Bora Zaidi Ya Nyingine. Nataka Kununua Kwa Matumizi Yangu. Je Ni Kweli Boxer Inatunza Mafuta Yaan I Lita Kwa 60 Km Lkn Haimili Miki2? Vip Kuhusu Sanlg? Msaada Tafadhali.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Anayeuza Pikipiki Aina SUNLG

    Vip Kuhusu Ubora Wa Boxer?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Boxer Inahitajika

    Nahitaji Piki2 Aina Ya Boxer Ambayo Haijatumika Zaidi Ya Miezi 6 Na Iliyopo Ktk Hali Nzuri. Iwe Na Documents Zake Zote. Maeneo Iwe Dar Es Salaam, Bagamoyo, Kibaha, Chalinze Au Moro Town. Mawasiliano 0684061951 Piga Au Tuma Sms.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu vya ruaha mbuyuni

    naombeni mnijuze
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Mbumbe! Nape anatawaliwa kifikra kiasi hicho? Kama mtu amekuteua hurusiwi kumkosoa? Kweli? Jamani nape kumbe uko hivyo? Aibu
  13. M

    JamiiForums Tanzania MBOWE, LIPUMBA NA MBATIA, ni wanafiki na Maadui wakubwa wa Taifa hili. Tuwakatae kwa nguvu zote

    mleta mada nadhani unajifunza kuwa mchambuzi wa siasa. kwa bahati mbaya unauwalakini na ubinafsi mkubwa ktk uchambuzi wako ni bora kama kuna kazi nyingine unafanya endelea na kazi yako huku inaonesha hukuwezi. na kama ni mwanasiasa hakika uwezi kufika mbali kwa sababu unaufinyu wa fikra.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ponda apinga Mpango wa Serikali kuweka ulinzi misikitini

    poa ponda
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    si tu mtwara na lindi pia ruvuma hajafanya chochote cha kujivunia. inawezekana chama chetu hakina dhamira ya kupata kura ktk mikoa hiyo ndo mana wanalegalega.
Back
Top Bottom