Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ya Serikalini na sector binafsi. Nimesoma kwenye chuo kilicho sajiliwa na VETA jijini Dar es salaam.
Utunzaji wa gari kwangu mimi ni wa uhakika, na pia nina uwezo wa ufundi daraja la kwanza.
Wasiliana na mimi kwa namba: 0789 316 071 au...
Kuna sababu nyingi tu zinazonifanya nampenda sana huyo my preatty cute Levina
1:Ana upendo wa dhati kwangu
2: Tunapendana wote.
3: Ananiheshimu.
4; Nafurahia uwepo wake.
5: Anauzuri wa asili.
6:Anavutia sana.
7:Anajipenda kwa maana yuko smart kila time.
Mungu tubariki sisi...
MATAZAMIO YA HIP HOP KATIKA LUGHA LAINI
Hip Hop- ni aina ya muziki ambao unaimbwa kwa staili ya kurap/kufokafoka kwakuzingatia Vina vya Mashair.
Aina za HIP HOP
1:HIP HOP YABIASHARA
2:HIP HOP YA KUJENGA JAMII
TUTAENDELEA CKU IJAYO . am a Mangstar Classic
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.