Mwinyi Aliikuta nchi hoi akaiacha taabani.
Mkapa akaijenga nchi sana, akaingia Kikwete ikawa ikawa ni kashfa baada ya Kashfa, EPA, RICHMOND, DOWANS, aliteua mawazi na manaibu 61. Akaiacha hoi.
Huna akili, hajasomea chochote, Daktari wa heshima, Honoris Causa.
Unashindwa hata kujua udaktari wa heshima, sasa wewe na hao la saba mna tofauti gani?
Labda litokee la kutokea, lakini hali ilivyo kuna Diwani wa Kata moja ndo mbunge mtarajiwa. Nusrat anaonekana mgeni kwenye chama, wanasema asubiri kwanza, siyo kuja umekuta watu na kupewa tu cheo😀
Chombo yake ya 4,
Mtaturu mjanja mjanja sana, anaahidi michango kwenye harambe makanisani na misikitini anakula kona, Elimu magumashi, kauli za kibabe.
Kura za maoni bado acha uongo, sasahivi ni mchakato wa Kamati za siasa za mikoa kujadili majina na kutuma mapendekezo Halmashauri kuu ya Taifa ambayo itarudisha majina matatu kwa ajili ya kupigiwa kura apatikane mgombea mmoja ambaye atachukua fomu ya kugombea ubunge.
Vikao vya Kamati za siasa za Wilaya ndo vinakaa leo kwa ajili ya kujadili na kutoa mapendekezo yao kwa kamati za siasa za mikoa.
Vikao vya kamati za siasa za Mikoa vinatarajiwa kukaa kuanzia tarehe 9, ndivyo vitapendekeza majina matatu kwa ajili ya kupigiwa kura.
KInachoendelea hapo ni siasa za...
Elewa ulichoulizwa tafadhali, kitu kupya walichoanzisha tofauti na hiyo aliyoanzisha JPM.
Ina maana bila JPM kuanzisha hiyo miradi mliyomalizia, hamna kitu mngebuni, kweli hamkujiandaa, ina maana hamna kitu kipya mnachofikiria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.