Katika kijiji fulani baba mmoja alifiwa na mtoto, baada ya mazishi MC alimkaribisha msemaji wa familia kwa neno la shukrani, mbaya zaidi yule msemaji wa familia aliwashukuru majirani waliofika kuwafariji wafiwa, jumuiya ya kanisa kwa huduma yao msibani na kisha madaktari waliojaribu kuokoa...
Kuna hoja za kitoto kweli, yaani nyie kwenye chama chenu hamwezi kuona jambo baya ndani ya jamii mkaanzisha mjadala ili haki itendeke, mnangoja CDM kwa kila jambo. CDM wao waliweza kuona lile la DITOPILE kwa haraka ila hili la SUGU msiposha dude ni upuuzi wenu wenyewe, anzisheni mchakamchaka na...
Ulianza vizuri sana kwa maana waTz wengi hatuna elimu ya uraia na hatuwezi kuona mambo kwa jicho la tatu, ajabu paragraph 2 za mwisho unaingiza mambo ya KIJINGA, narudia tena umeingiza mambo ya KIJINGA. Kwa hiyo hilo kundi lililozoea pesa chafu vyombo vya dola vimeshindwa kubaini hata mmoja tu...
Huyo aliyeshinda anaomba mwandishi wa habari wakutane kesho ofisini ili waongee kwa kina, ni ofisi ipi anayosema hapo. Ni hiyo ya Elimu-Mvomero ambapo mkurugenzi anasema aliyeshinda yuko masomoni au anamaanisha wakutane ofisi ya CCM na kwamba kesho atakuwa ameishakabidhiwa ofisi rasmi, na hivyo...
The brains of our African politicians are partitioned into 2 parts which are "left and right part". In the LEFT part of the brain we find " nothing right" and in the RIGHT part there is "nothing left". But take note that few of them are EXCEPTIONAL
Kwa hiyo sasa mgonjwa yuko Muhimbili? Mbona tunasikia maagizo kwamba ndg wa mgonjwa wapeleke ombi rasmi serikalini ili ndg yao apate matibabu, au taratibu za serikali zimebadilika? Halafu kwa kiongozi akiugua hiyo ni automatic serikali inabidi imtibu kwa kodi zetu sasa huu utaratibu wa kupeleka...
Mada ya kipuuzi kabisa, hakuna mashindano ya kupost humu ndani. Unaweza ukajipa muda wa kutosha na akili ikafanya kazi yake vizuri hatimaye ukaja na hoja yenye mashiko. Si vyombo vya ulinzi na usalama vipo na tuliambiwa tuviache vifanye kazi yake nyie huko mtaa wa pili kwa nn mnaweweseka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.