Recent content by mangichogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% nyuzi zangu zinasomwa na wahusika sasa nawambia hivi anaemtuma Mwaipopo ni mpumbavu kama Mwaipopo

    Mwaipopo anajidhalilisha Sana. Eti yeye na watu wake hawataki katiba mpya🤣🤣🤣 nikajiuliza hili jinga linajua nini maana ya katiba?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?

    Katuga anataka kuaminisha umma kwamba uchaguzi ulivuligwa na haukufanikiwa kwa sababu ya chadema anajishaulisha kwamba tume huru ya uchaguzi imesema watu waliojitokeza na kupiga kura ni asilimia 98
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kitaeleweka si muda mrefu: Marekani yaonya uwezo wa kujilinda wa Israel dhidi ya Makombora ya Iran

    iIran akili kubwa kwa kuanza kupiga mwenye mbwa kwnza, sasa mbwa mkia upo kitovuni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Kusini: Uamuzi wa Bunge wa kuzuia mchakato wa kumwondoa Rais Ramaphosa ulikuwa kinyume cha Katiba

    Mahakama zao zipo huru ndio maana wanaamaendeleo makubwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Montana Khamenei Mojtaba Khamenei! Mojtaba Khamenei hatuko naye

    Huu ushuzi umeuokota wapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza kuwa Iran imekubali Urani yake ipelekwe Marekani; huku Iran yenyewe ikisisitiza kuwa hakuna kitu kama hicho!

    Marekani aliomba ceasefire Irani ikaweka masharti. Israeli na marekani wakakengeuka kwa kutaka kuendelea kuishambulia Lebanon. Kwa kukiuka hilo sharti Iran ikagoma kufunhua huo mlango. Baunsa wa zamani akaona maji ya shingo akampiga biti mwanae kuacha kuishambulia Lebanon ndio Iran imefufungua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

    Tunawahacha viongozi wa Israeli makusudi ili washuudie baba yao USA akianguka kijeshi na kiuchumi na wao kukosa ulinzi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

    Acha ujinga na usituganye na sisi waninga kama wewe. Kama ni hivyo Israeli imewezekamaje kuwa na hizo silaha?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaudhibiti kijeshi Mlango-Bahari wa Hormuz

    Walokole wa tz ni mabumunda, vitu vya kijinga na ambavyo haviwezekani kwasababu vimetamkwa na marekani mnavisapoti na kuvifurahia Hiyo plani ya ukichaa anataka kuiweka Trump, haitawezekana kwa sababu ya uchumi wa dunia. Ni taahira pekee anayeweza kusema jambo hilo litawezekana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Iran sasa ni dhaifu

    Lugha hiyo hiyo ndio aliyoitumia kum drag Trump kuingia katika vita na Iran na matokeo yake Trump akaomba kusimamisha vita
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters

    Ndivyo mmekaririshwa hivyo? Kama imerudishwa nyuma kijeshi wajaje hao shosti wako wakatie mguu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters

    Irani kila raia ni kiongozi na ndio maana hakijaaribika kitu. Muendelezo wa moto upo pale pale
  13. M

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Kwanini isiwezekane wakati mali ni halali ya iran?
Back
Top Bottom