Wanao ondoka ni vijana wa 50' ila hao ulio wataja hapo ni vijana wa 80 huko alafu unawaita wakongwe, hivi unaelewa maana ya hilo neno mkongwe? January leo anakua mkongwe wa ccm kweli kuliko kingunge? Mnakunywa pombe gani nyie ccm?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.