Recent content by mang ii

  1. M

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere, yaionyeshea kidole ZEC

    Hatuzungumzii swala la kurudia uchaguzi tunazungumzia swala la matokeo kuendelea kutangazwa na ataeshinda aapishwe kuwa raisi wa Zanzibar Kwanini ccm inangangania kurudia uchaguzi wakati kwa mujibu wa matangazo ya tume shein alikua akiongoza hadi walipokatisha matangazo?? Kuna woga gani hapo...
  2. M

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere, yaionyeshea kidole ZEC

    Wajinga tu ndio watakao pinga ukweli huu
  3. M

    Job Ndugai: Kila Mbunge kufungiwa computer

    Computer za wabunge zinasaidia vip kutatua changamoto zinazowapata wanachi kwa sasa??.. Hospitalini hamna madawa, walimu wanadai malimbikizo yao Alichokizungumza hakina mashiko kwa wanachi kwa kipindi hiki
  4. M

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Ameni Tunasubiri maanuzi yao tujue hatma ya raisi mteuliwa (si mteule)
  5. M

    Waangalizi kutoka Afrika Mashariki wakosoa mfumo wa uchaguzi wa Tanzania

    Nimekuelewa sanaa Mkuu Ukisoma hapo nimeandika zaidi ya asilimia 89 ikimaanisha kua inaanzia hapo kwenda juuu haijawahi kupungua 89%
  6. M

    Waangalizi kutoka Afrika Mashariki wakosoa mfumo wa uchaguzi wa Tanzania

    Unazungumzia nchi gani hapo?? Kenya pamoja na uchaguzi wao kusababisha vifo vya zaidi wa watu 1000 wamepata mtu sahihi anayewaongoza nchi yao sasa ipo kwenye UCHUMI wa kati huku ikiendelea kukimbiza EAC kielimu. Zaidi ya asilimia 89 ya bajeti yao inategemea pato la ndani Burundi ni nchi...
  7. M

    Waangalizi kutoka Afrika Mashariki wakosoa mfumo wa uchaguzi wa Tanzania

    Tupe ushahidi wa uongo ulioelezwa na ITV kuhusu kuokota karatasi za kura ambazo zilikua zimempa magufuli kura ya ndio!? Niliiona taarifa na naamini ni ya ukweli vp wewe utuambie ni uongo?? Sheria ya vyombo vya habari inasemaje kuhusu kutoa taarifa za uongo kwa uma?? Kwanini serikali...
  8. M

    Taarifa Ya UVCCM Kwa Vyombo Vya Habari Tarehe 31 Oktoba 2015-Dar es Salaam

    Barua ya Jecha nimeisoma na nimeielewa sanaa lakini haina mashiko Haikuainisha kikao halali kilochojadili changamoto hizo na hatimae kufikia maamuzi kwa maana hiyo uamuzi ulikua wa jecha mwenyewe (pengine kwa kushinikizwa na ccm) Kwanini wanajeshi zaidi ya 70 walizunguka kituo cha kutangazia...
  9. M

    Taarifa Ya UVCCM Kwa Vyombo Vya Habari Tarehe 31 Oktoba 2015-Dar es Salaam

    1.Tatizo karatasi au tatizo aliyetoa zabuni ya kutengeneza karatasi?? Inawezekana kwa namna moja ana nyingine zabuni hiyo ilitolewa kwa makusudi ili wapinzani wakishinda utetezi wenu wa kwanza uwe "karatasi" 2. Mawakala waliovamiwa waliripoti polisi na je polisi walichukua hatua gani?? Vituo vya...
  10. M

    Rais Mteule, Magufuli aanza kutema ''cheche'' ndani ya CCM.

    Watanzania hawakumchagua so hawezi kupewa ushirikiano!
  11. M

    Rais Mteule, Magufuli aanza kutema ''cheche'' ndani ya CCM.

    Hata baba riz alianza na kiki za kujidai anatembelea hosptal ...baada 2mths akaanza safari za kufanya massage marekani na ulaya
  12. M

    Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    Umenielewa lakini?? Au unajaribu kulazimisha swala la matokeo?? Kama ni swala la Matokeo yamapatikana kutoka kwenye vituo vya kupigia kura na fom walizosain mawakala wa vyama
  13. M

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Tatizo sio nani anapewa nchi tatizo n utaratibu uliotumika kutoa nchi
  14. M

    Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    Hapa hatuzungumzii matokeo. Tunazungumzia tuhuma za kusadikika zinazopelekwa kwa mtu ayesadikika!!
  15. M

    Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    Ulicho quote hakieleweki!! Mi nipasho!! Hakina mantki so quote upya jipange vizuri ueleweke
Back
Top Bottom