Kwa hali ya uchumi inavyokwenda nadhan kuna Haja ya kupunguza muda wa Rais kutoka miaka mitano mitano na kwenda miaka mitatu mitatu kwan hapa magu an miaka miwili tu Lakin hali ni mbaya kila seats sio uchumi sio democratic, je miaka minane iliyobaki itakuwaje thaqafa.
Kwa utaratibu tulionao wa...
Kila siku tunalia ripoti za uchunguzi ziweke hadharani leo wameweka mmegeuka tena kuwa mkurugezi aliyetoa ripoti kwa umma kakosea. watu vigeugeu jaaman au anachosema tembo siku zote ni sahihi. mhm jitegemee kwa fikra aisee
nadhani inamlipa saiv kwa kazi nzuri ya kuchafua watu. Eti mchambuzi anaegemea upande mmoja na anamchambua lowasa tu mhm analysit wa wapi huyu kumbe katumwa nadhani posho imekuwa kubwa sana kuliko input yake vyeo ving mpaka vinagongana sijui aache kipi achukue kipi.
unafiki naona kumbe unalipa aise
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.