Recent content by manenoyakuambiw

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    Tafadhali sana mambo ya kutuacha njia panda sio mazuri kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania TigoPesa kukaa kimya wakiwa na pesa zetu, tunashindwa kufanya miamala na hawatoi maelezo

    Hawa nao wakupigwa chini kabisa naona wamechoka sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Wazee mpo nyuma sana sijui kinawakwamisha kitu gani na nyinyi ndio mkonge wa taifa nyinyi wa kushindwa na simba net au raha au Aptus au Tigo au Airtel kweli kwenye huduama zenu sijui mnashindana na nani Kwa kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulipia Daraja la Nyerere Kigamboni

    Safi sana Mzee huyu jamaa anataka hela zetu zisirudi au katumwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Canada zipoje?

    samahani sana mkuu kwa kipindi hiki kwa canada kwa njia raisi ya kufika huko utumie njia gani
Back
Top Bottom