Recent content by Maneno moto

  1. M

    JamiiForums Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Hapana cha afcon hapa ni kuzuga au kujaribu
  2. M

    JamiiForums Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Kama ni meneja awajibishwe mapema kabisa ni hatari kwa taifa letu
  3. M

    JamiiForums Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Kwa hili hata waandaji wa video show mitaani urahumiwa sana na watazamaji na ni aibu sana kwa muandaaji. Ivyo ni aibu kwa nchi ya Tanzania, meneja wa kiwanja. Inatakiwa waadhibiwe wanao sababisha usumbufu huu hasa waziri anayehusika, meneja wa uwanja na watu wa nishati kama ili linawahusu
  4. M

    JamiiForums Benki ya Finca kutokuwepo na ATM imekaje wadau?

    Mikopo umiza Iii
  5. M

    JamiiForums Benki ya Finca kutokuwepo na ATM imekaje wadau?

    Finca sio benki ya kibiashara, haina mtaji wa kujiendesha ivyo hiyo riba ni kushawishi uweke pesa wapate mtaji. Kwenye fedha tunasema high risk high return Kwa riba hiyo usalama wa pesa yako ni mdogo
  6. M

    JamiiForums Kwa mliowahi kufanya biashara ya workshop ya aluminium

    Fanya research ya fasta Kwa majirani wenye buashara kama hiyo pia angalia sababu za kuuziwa kama hazina uhusiano na kudorora Kwa biashara chukua
Back
Top Bottom