Recent content by mandweki

  1. mandweki

    JamiiForums Tanzania Leo Wamarekani wanamkumbuka Osama bin Laden bila kupenda. Hakika Umaarufu huja wenyewe

    Ni siku ziliposhambuliwa twin towers, Pentagon. sio barozi ndugu
  2. mandweki

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Kwaio wewe uliamini nchi ilifika uchumi wa kati. Daa.! Alikua anawaokota wanyonge wengi.[emoji23]
  3. mandweki

    JamiiForums Tanzania Karipio la Rais Samia: Unaiba hela ya Umma ikusaidie nini? Utazikwa nayo? Utajibu nini Mbele ya Mungu?

    Alianzisha mahakama ya mafisadi mpaka anaondoka hakuna fisadi aliesimamishwa kizimbani zaidi ya preabagen na zikaenda china.[emoji23][emoji23]
  4. mandweki

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya jaribio la ndege isiyokuwa na rubani

    Ndege hisiyokua na rubani chini ya maji ikashambulia.? Duu hii nayo Kali sana.
  5. mandweki

    JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Unajua wanachadema wangapi walifungwa kwa kesi za uongo kipindi cha jiwe? Unajua wangapi wametoka? na wangapi bado wako magelezani.? Hujui njinsi mbowe anavyopambania.
  6. mandweki

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

    Maji,Umeme wasikuletee CCM uje ulalamikie CDM nyau wewe toka hapa.
  7. mandweki

    JamiiForums Tanzania Mioyo ya Wafuasi wa CHADEMA imesagika vyakutosha

    Wewee mama kutwa kwenye mtandao ya kijamii wewe ni Chadema mara Ufipa walikukosea nini ukiamka mpaka jioni ni Chadema, Ufipa tuuuu. Umetuchosha muudumie mmeo utaachika kisa CDM.
  8. mandweki

    JamiiForums Tanzania Utafiti: China inaongoza kwa technolojia 37 kati ya 44 duniani

    Makubazi
  9. mandweki

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

    Awawashindi CCM
  10. mandweki

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

    Kwanza mkulima anauza mazao yake akisha vuna tu kwa mfanyabiashara. Labda Serikali iwe inanunua na kuhifadhi(NFRA) kwa bei ya soko.
  11. mandweki

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wabunge waliongezewa kura feki 11,383 kila mmoja na hakuna takwimu za kura za Rais kwa kila Kituo

    Chizi lazima umuogope wezi jua atafanya nini.?
  12. mandweki

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi au maelezo toshelezi jinsi Katiba ilivyomletea umasikini/utajiri

    Hatari sana mi pia nilijua hivyo
  13. mandweki

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi au maelezo toshelezi jinsi Katiba ilivyomletea umasikini/utajiri

    Aisee siamini ata umu Kuna watu aina hii.? Je huko vijijini.?
  14. mandweki

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi au maelezo toshelezi jinsi Katiba ilivyomletea umasikini/utajiri

    Aiseee.! Na yuko jamiiforum aisee kazi bado sanaa
Back
Top Bottom