Recent content by MANDOVA

  1. M

    Maalif Seif: TWAWEZA mngefanya utafiti wa Escrow

    Utafiti hufanywa kwa vitu ambavyo havijafanywa. Kwani nchi hii ni nani asiyejua kuwa ina uhaba wa madawati? Ishu ya escrow si inajulikana! .mi naona sio dhambi kwa twaweza kufanya walivyofanya maana nalo ni jambo muhimu kwa mustakabali wa kesho
  2. M

    Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Ni matokeo ya wanawake wengi wa siku hizi kuvaa nusu uchi kwayo vijana wana poteza uwezo wao wa shauku kwa vile kila siku wanaona maungo adimu ambayo mwenyezi mungualiamuru yafichwe sana ili kuwapatia wahusika hamu ya dhati pindi wakikutana kindoa. Aidha kundi la rika hilo linahusika sana na...
  3. M

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Huyu Kagame ni mtu jeuri sana na jeshi letu bila kwenda mapema kummaliza kulekule Kongo alikuwa na mpango wa kuja kuvamia huku. Mi naamini Tz kuamua kwenda kule hawajakurupuka ila wanajua wanachokifanya isipokuwa sisi wanannchi wa kawaida ndio tusiojua undani na kimsingi hatupaswi kujua undan...
  4. M

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Kagame halali usingizi na anajaribu kushawishi Uganda na Kenya waisaliti Tanzania but hataweza kwani Bongo haimtegemei mtu kwa kuishi isipokuwa amani tu na hiyo amani tutailinda kwa nguvu zote.
Back
Top Bottom