Recent content by mandira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Inaelekea mheshimiwa waziri wetu anaulemavu wa kusikia au hakielewi kishwahili alichokuwa anaongea Mwenyekiti wa CUF akiwaambia wana CUF kuwa maandamano na mkutano haupo. Nadhani apelekwe kwa daktari.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Mkuu hapo umepotoka. Maelezo hayo hayana ujinga wowote bali ni tahadhari kwa tunakoelekea. Serikali haina dini ila inatambua wananchi wake wana dini zao hivyo kuapa kwa kutumia vitabu vya dini hizo ni kumheshimu Mungu anayeabudiwa na watu hao. Kazi ya serikali sio kutukuza dini moja dhidi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pinda awaagiza UKAWA kurudi bunge la katiba: Asema sio OMBI

    Ninachojua ni kuwa wajumbe wachache wa BMK yaani UKAWA hao ni mashujaa wanaoitetea nchi yao na maoni ya wananchi. Kurudi mjengoni sio tatizo ila warudi waijadili rasimu ya katiba iliyosheheni maoni halali ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio rasimu ya upinzani iliyoletwa na CCM.
Back
Top Bottom