Vaeni suruali njooni town tuchakarike sio kula swala na kulala chini miti huku mkioa wake wannewanne[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikra hizi na zingine kama hizi zimepitwa na wakati. Ni fikra za karne nyuma na ni tofauti kabisa na hali halisi tunayoishi sasa. Wakati hizo sheria zinawekwa hata mji wa Arusha ulikuwa ni kijiji. Na labda wakati huo hata jiji la Nairobi ambapo ndiyo mji uliokuwa karibu kipindi hicho nadhani...
SIJAWAHI KUMSIKIA RAIS MAGUFULI WALA CCM WAKISEMA WANAMUUNGA MKONO MGOMBEA FULANI KWENYE UCHAGUZI KULE NCHINI KENYA. NADHANI WANAELEWA MADHARA YA KUFANYA HIVYO.
LABDA KAMA KUNA LINGINE. LAKINI KAMA NI SIASA TU, NAKUSHAURI MZEE SEFU UNGEJIUNGA CHADEMA ILI KUONGEZA NGUVU LABDA MTAFIKA HUKO MNAKOTAKA.
NI USHAURI TU.
JARIBU KUELEWA KIDOGO, NI HIVI: SERIKALI INAKUSUDIA KUFUTA LESENI YA BARABARA LAKINI PIA INAKUSUDIA KUONGEZA KODI KIDOGO KTK MAFUTA.
HII NINI KUSUDIO LAKE:-
1. KUONGEZA MAPATO
2. KUONDOA KERO KTK UFUATILIAJI WA HIZO LESENI
3. KUPUNGUZA GHARAMA KM. UCHAPISHAJI NA YONO AU MAJEMBE
4. KUONDOA...
Naona siku hizi humu ndani watu tumeacha kujadili hoja. Tunatumia kashfa na matusi tu. Kama hoja ya mtu huikubali, sema huikubali kwasababu gani. Au kunyamaza pia busara kuliko kutoa kashfa.
Hapa kuna watu wanasumbuliwa na wivu kufuatia utendaji wa mh Rais. Kero anazofanyia kazi rais wetu ni hoja zinazotumiwa na baadhi ya wanasiasa kujitangaza. Sasa wanahisi zikiisha watakosa cha kusema. Mzee piga kazi usisikize maneno maneno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.