Uzi haujakaa vzr mpka unatusi taaluma ambavyo Leo hii ndo imeokoa maisha ya wamama na watt wng duniani .suala la kuongezwa njia n Kwa lengo zuri tyu ili kuokoa maisha ya mtt apite hayo mengine we unataka n anasa kwan mkeo n chombo Cha starehe ama shamba Bora ya kukuletea mazao bora Umeniharibia...
Hiyo ndo akili ya kuishi nao Mzee baba ila ukijifanya unambavu n hatari utaishi maisha yako yote uliobakiza kama upo sero ndo maana wanaume WENGI hujinyongaaa
Iko hivi kwanza tujue umeshafunga nae ndoa ?? Kama Bado usifunge wait until age 47 pili kuuza uchumi wako tatu focus na kazi Muombe sana mungu mwisho mzalie mtt njee muoneshe akili Iko inn and sometime out ataa kwenye reli imeandikwa tuishi nao Kwa akili Hawa viumbe are snake ndo kiumbe pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.