Recent content by Mande Adili

  1. Mande Adili

    JamiiForums Tanzania NMB Mbagala wana huduma mbovu

    NMB Mbagala, Poor service mtu unasimama kwenye foleni zaidi ya Lisaaa limoja teller mmoja, Vyumba vingine hakuna huduma, Sasa manager sijui hii resources ya staff anaitumiaje, nyingine Closed, Uchumi utakuwa kweli kwa namna hii? Just pissed……
  2. Mande Adili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya bidhaa hizi Mjini Dodoma

    Kuna kampuni ya Kijerumani inauza Gypsum Nzuri sana zinazalishwa hapa hapa Tz,Knauf Gypsum Zina ubora kuzid BBG na Gybroc unaweza zipata pia, Unaweza kuwa pigia na vifaa venginevyo.+255752214570,Dodoma pia wapo.
  3. Mande Adili

    JamiiForums Tanzania Nataka Kufahama Namna Ya kupata EVICTION ORDER ya mahakama ya kuondoa mali vitu, ama mtu alivamia kiwanja?

    Nataka Kufahama Namna Ya kupata EVICTION ORDER Ya mahakama? ya kuondoa mali vitu ,ama mtu alivamia kiwanja?
Back
Top Bottom