Recent content by Mandani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali mpya ya Mloganzila.. Serikali mmepata wataalamu wa vile vifaa!?

    Nimewaona ITV pia saa tano usiku uongozi ukikanusha shida wanazopata ndugu zetu waliohamishiwa huko. Waandishi nendeni mpite wodi hadi wodi na mpate historia za wagonjwa waliokaa tangu tar 12 Januari hasa waliopooza (neuro cases). Mkikanusha muwe wakweli.. leo kwetu, kesho kwenu!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muigizaji mkuu wa Filamu ya Sarafina Afariki Dunia.

    Nitangulize dua...samahani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muigizaji mkuu wa Filamu ya Sarafina Afariki Dunia.

    Source?? Tusije tukamwua mama wa watu uongo!! Kama kweli nitangize dua yangu...apumzike kwa amani!! Alifundisha wengi mengi sana....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    Waende WOTE walioinua jiwe, walioendesha greda, waliofanya LOLOTE!! Vingine itaonekana kuwa waliokuja wakakuta wananchi wameshaanza watafanana na wale watumishi walioajiriwa jioni wakalipwa sawa na walioajiriwa asubuhi! Huko Arusha waanze kutafuta usafiri, kwenda kula na raisi! Hii ni ahadi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Very sad moments....still, sipendi kusema Waislamu si ndugu za Wakristo katika hili! Hicho kikundi ndo maadui! Na hao wanaokaa kimya bila kutoa ulinzi katika ishara hizi zote watapata thawabu yao siku si nyingi! Tuombe amani idumu!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

    Nguvu ya umma kihivi kweli? Kwani njia nyingine zimeshindikana hata kama ni watu kutaka nchi yao au OIC? Kama itawapendeza basi wanunue biblia milioni 10 wakojole weeee mpaka waridhike!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Kero yangu kubwa kwa sasa ni MAT-SHIRT NA MAKOFIA YA MATUKIO! Ni chanzo cha ufisadi mkubwa kiiila mahali!! Ipelekwe hoja kuwa T-Shirt na Kofia zitengenezwe na wafanyabiashara kwa maelekezo ya wenye matukio kama vile nembo, rangi nk lakini KILA ANAYETAKA KUVAA NA ANUNUE!! Hii itaondoa ufisadi...
Back
Top Bottom