Recent content by manchester

  1. manchester

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Tujuavyo ile ni sheria kamili na hata hao wanaokwenda kusimamia washapewa taarifa mita 200 wasimguse mtu
  2. manchester

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Daaaaa, Mkuu unachekesha umekosa cha kupost au?? Kwa Taarifa yako kwenye sala si wote huwa wanavumba macho kuna baadhi unaweza kuwakuta wakipepesa macho na wengine wamefunga inategemea na makuzi yako katika sala ila tunapaswa wote kufumba macho wakati wa sala...
  3. manchester

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    People Power Revolution
  4. manchester

    Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Huuu uandishi wa habari pasipo kuusomea uan kazi kweli kweli.....mkubwa ulifunza wapi uandishi wako wa habari, chini ya mti au kigoda?????
  5. manchester

    Mkosamali: Kama Watanzania wataichagua CCM tena, basi waitwe wataalamu tupimwe akili

    Mimi nasema Watanzania Wakichagua CCM Mwaka huu Nashauri Tutafute Consultanct wa Kupima UWEZO wa Kufikiri wa Watanzania..."Felix Mkosamali Mbunge wa Muhambwe
  6. manchester

    Stevene Masele na hadithi zake za Alfu Ulela...."Eti Mpira ni Biashara kubwa siku hizi

    Kama mnakumbuka zamani kulikuwa na vitabu vya hadithi za Alfu Ulela zilizokuwa na ukweli na uongo, kwa enzi hizi ni vigumu kuwakuta vijana wa kileo wakivisoma vitabu hivyo ila kwa Mh. Steven Masele anajaribu kutulazimisha kuvisoma vitabu hivyo tena kwa kujaribu kutuhaminisha na ujio wa kina...
  7. manchester

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Uko sahihi kabisa nimetoka kumjibu mwingine mimi si mwana siasa ila kwa hili hata mimi nalijua
  8. manchester

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Kwa mtu yeyote yule ambaye hata kama ana ufahamu wa darasani kwa kutumiatuu ule wa kufikirika ukiwa unazungumzia jina la bomani, kahama, au mbowe utakuwa unafamika mapema ni nini unachoongea...Kwa familia ya Mbowe ni nani asiyefahamu ni familia iliyofanikiwa na yenye jina kwa kipindi kirefu...
  9. manchester

    Tatizo la ukukatika kwa umeme mjini kati (city centre)

    mefurahi kumskia waziri husika leo akitamba redioni ya kwamba transformer zilizokuwa zimeharibika zitafungwa mpya hapo kesho.. Jamani watanzia tushafika sehemu siasa ziwekwe kando na utendaji uchukue sehemu yake inamuhia ugumu gani kutamka tranfomer zitakazofungwa ni zile zile zamani na si mpya...
  10. manchester

    LONDON (AP) — A British judge on Tuesday sentenced defense contractor BAE Systems PLC

    LONDON (AP) — A British judge on Tuesday sentenced defense contractor BAE Systems PLC to pay a fine of 500,000 pounds ($775,000) for failing to keep proper accounts of payments made to an adviser in Tanzania. The payments were made in connection with the sale of a military...
  11. manchester

    BAE Systems pleads guilty!

    LONDON (AP) - A British judge on Tuesday sentenced defense contractor BAE Systems PLC to pay a fine of 500,000 pounds ($775,000) for failing to keep proper accounts of payments made to an adviser in Tanzania. The payments were made in connection with the sale of a military radar system in...
  12. manchester

    GE2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    ....Ndugu yangu wala waswasi usiwe nao kabisa umezipata shaka na dukuduku undoa kabisa mawazoni mwako kulinga na MTAZAMO WA HIZI PICHA.
  13. manchester

    GE2010 Hata wazee vijijini wanaelewa hali halisi ilivyo

    wapo wengui tuuu ndugu cha msingi tuombe sana mwenyezi Mungu amweke mtawala wa haki
  14. manchester

    GE2010 HUJUMA dhidi ya SLAA katika mdahalo wa JK leo

    Kwa ninavyojua mimi wa leo si Mdahalo bali ni mkutanio na vyombo vya habari...so haniumizi sana kichwa kwani nani asiyejua uandishi wa vyombo vyetu vya habari vinavojua kuipamba Yanga na Simba kwenye mechi za kimataifa ila ukweli tunaujua sisi wenyewe watanzania so dsidhani kama kuna MDANGANYWA...
Back
Top Bottom