Recent content by ManC

  1. ManC

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    MSAADA HUU HAPA. Kwa wenye tatizo la kutuma Application msaada upo hapa buuuuure, tuma details kupitia (shafamt@gmail.com) NB: SITANII. By Shaha Mtindo
  2. ManC

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

  3. ManC

    ingia google halafu andika "Compress Pdf Online" zitakuja websites nyingi tu utachagua yoyote kisha una Upload then unaCompress... fuata tu maelekezo utayoyakuta kwenye website. sio ngumu
  4. ManC

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    mbona nimejaribu kurudia ila hakuna mabadiliko
  5. ManC

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    da dah! tangu saa saba nahangaika bila kujua chochote maana kila nikiUpload Transcript inakuja Grade A
  6. ManC

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    NIME UPLOAD CHETI CHA GRADE A BILA KWA BAHATI MBAYA. NATOAJE?? MWENYE UJUZI ANISAIDIE
  7. ManC

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Naombeni msaada waungwana. nimeUpload Cheti cha Grade A kwa bahati mbaya. Nakitoaje?
  8. ManC

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    nitajitahidi coz mi hata account sija signup
  9. ManC

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    FireFox tu???? Mi nimetumia mpaka Fire Extinguisher. Ah! Nimechoshwa na hizi mambo tangu tar 28 hakijaeleweka.
  10. ManC

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    502 Bad Gateway Hivi vitu ni vya hooooooovyo kabisha. Yaan ni bora tungetuma maombi kwa njia ya posta ingeeleweka. aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! Mama! Nakufaa!
Back
Top Bottom