Recent content by manboy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba ushauri nimesoma form six PCM kwa ufaulu wa EED kuna watu wamenishauri kwamba naweza kusoma degree kwa baadhi ya vyuo binafsi

    Wanataka Points 4 kwenye masomo mawili tu na sio matatu. Asante🙏🙏
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Computer science na software engineering ipi ni kozi nzuri

    Naomba unisaidie Link ya huo uzi kiongozi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Computer science na software engineering ipi ni kozi nzuri

    Nimeutafuta kiongozi huo Uzi ila kiukweli nimeona hakuna unaoelezea kati ya Computer science na software engineering
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Computer science na software engineering ipi ni kozi nzuri

    Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

    Daah aisee mbona ni hatari sasa kwahiyo uwezekano wa kupata ni mdogo sana hiyo scholarship
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

    We acha tu kiongozi siunajua siasa ya bongo kwenye elimu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

    Nashukuru kiongozi, duh mbona ni hatar, kwahiyo unamaanisha kwamba kwa ufaulu huo kupata scholarships ngazi ya bachelor uwezekano ni mdogo sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma huko. Nimemaliza form six mwaka 2024 nikiwa na division one of points six , A in chemistry, B in...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu university of western cape, naomba unisaidie

    Habarini, nahitaji kuomba MasterCard foundation scholarship katika chuo cha western cape kilichopo south Africa, kama kuna mtu anakifahamu hicho naomba anisaidie kunipa experience kidogo.
Back
Top Bottom