RIWAYA: Jina
NA: Frank Masai
SEHEMU YA 3.
ILIPOISHIA.
Pale alipoirusha, alijikuta akitumia nguvu nyingi ambazo zilimfanya asogee mbele kidogo ya Frank, na kwa kuwa alimkosa mtu aliyekusudia, basi ikawa adhabu kwake.
Frank baada ya kupinda kwenda nyuma na fimbo ile kupitiliza, alijiinua kwenda...