Recent content by man kaja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Israel washambulia Kanisa Gaza na kuua waumini 40 papo hapo

    Siku hizi naona makanisa yamepata watetezi wengi kweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

    ndo hivyo... ukiona mtu mahaba yamefunika uelewa inakua ni bora kupita kushoto ili kila mtu abaki na uelewa wake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

    okay, nimekuelewa mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

    sasa musa anakosaje kua na uhusiano na wayaudi wakati wote wametoka katika shina moja ambae ni yakobo?! musa alitoka kwa Lawi na wayaudi ni wauzao wa yuda ambapo Lawi na Yuda ni watoto wa yakobo ambae ndo israel mwenyewe. Afu kati ya uislamu na uyahudi kipi kilianza!?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

    uyahudi ulianza baada ya kifo cha sulemani, na ilikua ni matokeo ya kutengana kwa makabila 12 ya israel ambapo makabila 11 yaliunga na kuendelea na jina la israel na makao yake makuu yakawa Samaria, kabila la yuda likasimama kivyake na makao yake makuu yakabaki yerusalem.... ko...
Back
Top Bottom