na mm niliongea nae jana akawa amesema hvo hvoooo hvoooo saaa hiii serkali ya bongo vp???? kwahyo nayeye anabishana ns gvt??? au anadhan kile chuo chake serkali ikiamua imeamua saa nilmshangaaa alvyokua akibishaaaa nikaachana nae tu
jamani mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu wa masomo ya sayansi kreluu tc
lakini nmebahatika kupata saponsor ship kutoka serikalini
na nimeandikiwa kwenye profile langu nacte .
lakini nimejaribu kuwasiliana na mkuu wa chuo cha kreluu
majibu aliyonipa kasema kwamba
saponsor ship haitumwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.