NAombeni msaada kwa wanaofaham

man jile

Member
Aug 1, 2016
71
95
jamani mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu wa masomo ya sayansi kreluu tc

lakini nmebahatika kupata saponsor ship kutoka serikalini
na nimeandikiwa kwenye profile langu nacte .

lakini nimejaribu kuwasiliana na mkuu wa chuo cha kreluu

majibu aliyonipa kasema kwamba

saponsor ship haitumwi chuoni wananitumia mm je, saponsor ship hiyooo nitaipataje???? ili niweze kwenda kusomaaa ??

anayejua hilo naomba mnisaidie ndugu zangu ili nichukue saponsor ship hyo nikasome View attachment 448125
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom