waambie ukwel mh.hawakawii kusema matokeo yamechakachuliwa wakati wao wenyewe huwa,hawahudhurii ktk mambo ya msingi kama hayo.Achana nao mh,komaa na haohao wachache wenye akili na uchungu na TAIFA lao na hao ndio huitwa VIBWANGAI.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22,nipo chuo kikuu cha Dar es salaam,natafuta mchumba wa kumuoa baada ya kumaliza chuo.SIFA:1.AWE MWEUPE KIASI,MREFU KIASI NA MWENYE MAADILI.2.ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE
NB:AWE NA KAZI YEYOTE INAYOMUINGIZIA KIPATO Piga namba(0684059572)
Jamani mimi ni kijana wa kiume nina mchumba wangu muda mwingi umepita,lkn tabia zake kwa sasa hazinilizishi kwan nahisi amenizoea sana na kuniona wa kawaida.Hivyo nataka kumuacha lakini amekuwa akinambia kwamba siku nikimuacha anajiua so sielewi nifanyeje jamani,wana JF naombeni msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.