Recent content by man dizy

  1. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Mwambie huyo,, hii mbegu ni chotara sio sawa na hizo za kienyeji Sent using Jamii Forums mobile app
  2. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Ndio mkuu unaweza Sent using Jamii Forums mobile app
  3. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Unaipata mkuu,,, nicheki kwa 0765359880 kwa maelekezo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Kweli kabisa mkuu,, wengi hawajui hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Hapana mkuu sisi sio wapuuzi,,, hizo mbegu ni hybrid (chotara ) na hiyo bei ni yakawaida sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Epinav Agricultural Solutions ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kilimo Tumeleta mbegu mpya ya nyanya yenye sifa tajwa hapo kwa maelekezo zaid tafadhali piga namba hiyo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Hii mbegu ni semi determinant,, inafika mpaka 2.5m Hii pruning tunaita kupogole Kupogolea ni kazi ya kuondoa vijitawi vya pembeni mwa shina kuu la mmea kwa zile nyanya ambazo zinaendelea kukua (za kuchomekea). Kupogolea kuna manufaa mengi ikiwa ni pamoja na kupata matunda yenye afya na makubwa...
  8. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Kila wiki lazima uchume,,, so inategemea na unavyohudumia baadhi ya wakulima wanachuma Mara mbili kwa wiki kutokana na namna nyanya inavyo zaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    UBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO MBEGU YA TO 135 F1 Sifa Kuu 1. Ina matunda Makubwa na Magumu. 2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri 3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance) 4. Inastahimili ungojwa wa virus...
  10. man dizy

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa Nyanya Tanzania

    *MBEGU YA TO 135 F1* Sifa Kuu 1. Ina matunda Makubwa na Magumu. 2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri 3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance) 4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia hujulikana Kama Rasta au...
  11. man dizy

    Kilimo cha nyanya wakati wa masika

    Mkuu panda hii mbegu *MBEGU YA TO 135 F1* Sifa Kuu 1. Ina matunda Makubwa na Magumu. 2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri 3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance) 4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia...
Back
Top Bottom