Wale wapenzi wa massage mliopo mkoa wa Mwanza au mnaotembelea mkoa wa Mwanza karibuni kwa huduma tiba ya kukandwa misuli a.k.a massage
Nipigie 0759026697 kwa maelezo zaidi,karibu!
Habari wana jamvi. Kuna duka naliuza liko Mwanza Nyasaka. Ni duka la urembo lina vipodozi,nguo,mikoba na viatu. Naliuza milioni 2.5 tu na kodi yake inaenda hadi January 2025. Kwaiyo ukinunua wewe ni kuingia tu na kuanza biashara.
Kwa mawasiliano nipigie 0759026697
Hayo maswali ni ya Oral dear,usijidanganye kwamba utayakuta kwenye written interview.Written interview inakuaga hadi na calculations za kufa mtu kutegemea na proffession yako.Kwaiyo mnaoenda kwenye interview someni mjiandae vizuri
Wamepanga venue kutokana na mtu alipo au wamezingatia vigezo gani? Mbona wengine wa Mwanza tumepelekwa Dar jamani wakati naona kuna venue ya Saut Mwanza,nasikia kulia
Hadhi ya kampuni itakusaidia nini wewe na sio kampuni yako, wewe chagua mshahara mkubwa ili in the future na wewe uwe umekusanya mtaji uanzishe kampuni yako.
Ukishapata sehemu ya kurogea niambie na mimi,mwaka huu lazima tuajiriwe my wangu hata kwa kuoga njia panda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani umenifanya nimecheka kwa sauti mbele za watu
Sasa unahangaika na magroup ya whatsapp ya nini si usubiri tu Mungu afanye njia upigiwe simu au utumiwe email ya interview. Majina hayatatumwa kwenye group la whatsapp maana admin sio TRA tulia acha kuhangaika
Kuingia saa kumi usiku na kutoka saa sita usiku,inamaana unakaa nyumbani masaa manne tu kila siku?au mimi ndo sijaelewa vizuri.Kama ni hivyo ujue basi hiyo sio kazi ni mateso,bora mshahara ungekua mkubwa
Mtaji wa laki 5 hautoshi,chumba cha biashara utapanga kwa bei gani? Leseni utakata kwa bei gani?kudrsign duka kama kuweka shelves utatumia bei gani? Bado uende Dar kufuata mzigo nauli ya kwenda na kurudi tu ni zaidi ya laki. Labda kama ulimaanisha mtaji milioni 5.
Ila kama ni laki 5 kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.