Hamna nyumba
Sina shamba nyumba ina wapangaji family 2 umla watu sita bili ilikua inakuja elfu 30 wakaongeza hadi 50 nikanyamaza. Sasa wameniwekea mwezi lakin5 nikaenda kulalamika sijalipa wakakagua mita wakasema mita yao ipo sawa tatizo litakua kwangu kuna leakage kubwa ndo maana bili...
Yani mie mwanzoni bili ilikua inakuja elfu 50 nikakubaliana na hali sema asaivi wameniletea bili laki 5 kwa mwezi yani sielewi kabisa, ukienda wanakuambia tunakuachia ulipe kwa awamu
Jamani mwenzenu bili imekuja laki 5 kwa mwezi sijalipia miezi 2 asaivi bili imefika milion moja na laki tano, nikienda kulalamika wananiambia lipia kwa aawamu , naombeni ushauri nifanyeje.
Sasa kama mimi nimejenga sehemu ya udongo wa mfinyanzi na shimo ni moja nafasi ni ndogo, pia majirani hawajajenga mashimo mazuri nahisi pia maji yao yatembea yanakuja kwangu , ushauri pls nimejenga shimo la kawaida linajaa mwezi nikaamua kuweka biodigester nalo maji yanatoka nje ya fensi hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.