Recent content by Mamujay

  1. Mamujay

    Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Ha ha ha sizan kama wana hata diploma kwa hizo hoja ha ha ha
  2. Mamujay

    Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Wamejiahibisha bora wangekaa kimya maaskofu wana phd wale sijui kamanwao wana hata diploma? Alafu wanahoja ila wao sion hoja
  3. Mamujay

    Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Yani nataka kupigwa makofi site na mafundi kisa hela zangu
  4. Mamujay

    Nauza bati za Alaf 33500

    Kila rang ipo
  5. Mamujay

    Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  6. Mamujay

    Nauza bati za Alaf 33500

    Chagua rangi yoyote geji 30 hii no ofa kama unataka idadi yoyote unapata kwa 33500 piga 0743257669 uliza kwanza kwa wengine ukijua bei ndio uje kwangu uone hii ofa babkubwa tupo Buguruni hatuna mbambamba.
  7. Mamujay

    Nahitaji Nyumba ya kununua iwe mabibo mwisho

    Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
  8. Mamujay

    Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Seble ,chumba,chumba , choo& bafu box
  9. Mamujay

    Nahitaji flemu ya kununua Kariakoo

    Kununua
  10. Mamujay

    Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  11. Mamujay

    Raman ya ghorofa ya kisasa ya kupangisha

    Kama unaitaji nichek 0743257669
  12. Mamujay

    Nahitaji flemu ya kununua Kariakoo

    Kama nilivyo sema ninahitaji flemu ya kununua kariakoo ipo mil 10 hapa
  13. Mamujay

    Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
Back
Top Bottom