Recent content by Mamsap

  1. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hata kama kina Kawawa na Warioba walifanya ufisadi but ufisadi wao walikuwa waerevu zaidi,Mkapa kushatakiwa ni lazima.Watazania tutekeleze ile "motto ya awamu ya tatu- UWAZI NA UKWELI" . UWAZI wa Mkapa ni kufanya ufisadi na biashara ndani ya Ikulu??.("IKULU MAHALI PATAKATIFU" sio msemo wangu but...
  2. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Bubu umenigusa hapo heri mara "vijisenti" huo umember wangempa Mzee Kawawa aliyekuwa bega kwa bega na JKN (rip) kudai Uhuru kuliko huyo Fisadi BWM
  3. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    huyu mr dirty hawezi kuongea na wanahabari wala kujitokeza kujibu tuhuma"jamani mmnesahau alivyo upta urais wakati ule alipo hojiwa na cnn alishindwa kuhimili yale maswali..."!! nionavyo mimi ni heri kinga ya marais wote duniani ingetolewa ili wawe na adabu maana wanafanya ufisadi kwa kujua...
Back
Top Bottom