Recent content by mamanoti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! Do We Need a System, or Hii ya 1-Man Show inatosha?

    Hakika maswali ni mengi sana kuliko hilo la utumbuaji .. linaloshangiliwa na na hawa vijana: Kinachoonekana hapa ni kwamba hii ni serikali ya matukio ... matamshi na utumbuaji tu! Vijana wengi wa kijani wanachopenda kusiki utumbuaji lakini hawahoji kama unavyohoji hapo juu! Na sidhani kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Nasikitika sana! Lakini acha tu waisome namba ... ccm mbele kwa mbele!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Jihesabie ahera % 100
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu analiwa na jini, naomba msaada

    Jibu ni Yesu tu! Akifanya maombi ya moto.. jini huyo hatamrudia!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    .... Unawapa pole Maafisa wa Serikali? Waache waisome namba (kwani wameusahau huu wimbo wao kwa wapinzani?) .. Hii itawapa akili ya kujitathmini 2020. Maana wanapoambiwa kuwa ccm ni ile ile hawaelewi! Ngoja hadithi hii iendeelee! Na kwa mtindo huu Watumishi wengi wa Serikali watapukutika chini...
Back
Top Bottom