Recent content by mamajoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi kuhusu H. pylori

    Naona ametoka sasa huyu mdudu :D
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi kuhusu H. pylori

    Asanteni sana wote kwa majibu ya kuelimisha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi kuhusu H. pylori

    Nauliza kwamba h. pylori inampataje mtu ambaye anajilinda sana kwenye chakula n.k.? Mtu anayekula kwa wakati kwa mfano usiku anakula kabla ya saa mbili, hatumii sukari (anatumia sukari mbadala mara moja moja), hali vitu vya kukaanga, hali nyama nyekundu, hatumii mafuta kwenye chakula chake cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha EMS posta wanafanya kazi siku ya jumapili?

    Kama ni hivyo ni bora.maana wengi tulidhani tar 31 ni ems pia... Lakini hapa una maana 16 September?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Eti hao watu wanojiita panya vipi tena?
Back
Top Bottom