Recent content by MamaG

  1. M

    Watoto chini ya miaka 8 kulazwa rumande!!

    Sheria inasemaje juu ya watoto chini ya umri wa miaka 8 kulazwa rumande kwa kosa la kushutumiwa kuvunja kioo cha gari wakicheza na mwenye gari akasisitiza watoto walazwe rumande? Tukio hili limetokea siku ya jumapili 22 Sep. 2013 hapa jiji la Arusha na watoto hao wawili wa kiume miaka 8 na...
  2. M

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Sheria inasemaje juu ya watoto chini ya umri wa miaka 8 kulazwa rumande kwa kosa la kushutumiwa kuvunja kioo cha gari wakicheza na mwenye gari akasisitiza watoto walazwe rumande? Tukio hili limetokea siku ya jumapili 22 Sep. 2013 hapa jiji la Arusha na watoto hao wawili wa kiume miaka 8 na...
  3. M

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Nilitamani sana kusoma ujumbe unaosema kuwa tayari Rostam Aziz amejivua gamba. Taarifa zote zinasema kuwa anatarajia kuita Press conference kutangaza kujivua gamba. Ebu tuondoeni katika hii hali. Kama kuna mtu mwenye taarifa inayothibitisha kuwa tayari kasha vua gamba na tuipate!
Back
Top Bottom