Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi...
Hawana akili wakipata majanga huko mfano; kuumwa au kuumia wanarudi nyumbani kuuguzwa na wake zao si muendelee na hao wa kando wanaojua mapenzi unarudi home kufanya nini? Yaani hawana akili hawa viumbe
Si kweli mbona wengi hawana Elimu na wametoka. Sikuhizi elimu sio ishu ishu pesa tu utasota xkul ukija huku kusaka ajira unaambulia upepo bola kufuta ujinga ila hamna kitu cha maisha magumu bila Elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.