Recent content by Mama Ukweli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

    Ubongo wako finyu kukaa au kusimama kutakusaidia nini elimu sikushangai elimu yako ya kukalia jiwe darasani ndy ilokupa uwezo wa kuuliza maswali ya kilofa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Hicho kichefufu chako siyo hotuba ya Lowasa bali ni wewe kuwakumbatia hao wenzako unakula nao hela ya ESCROW,EPA , MEREMETA sasa umevimbiwa na kusikia kichefuchefu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Haya hii ndy mojawapo ya vigezo vya kuwa raisi wawa Tanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzungumza na Wanawake wa Dar es Salaam tarehe 27/8/2015

    Tunakujaaaaaaaaaa!!!!!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa vyama vya siasa na viongozi wake (hasa CCM)

    Nimekubali ndg Zig inabidi wajikumbushe walivyokuwa waenda kusuluhisha nchi jirani kulipotokea matukio ya wakati wa uchaguzi Kenya na Burundi pia wote ni mashaidi wa migogoro ya Sudan , Misri ,Somalia na Syria chanzo kikuu ni watawala wanaofanana na hawa wanaosema : Bao la mkono,Wapumbavu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    ESCROW walewale wamepeta Vijisenti joka lenye makengeza, Hela ya mboga ,kusaini mikataba mibovu n.k wanategemea kurudi tena kutuongoza malofa na W apumbavu
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Maadili ya kipindi cha kambeni yalijadiliwa sana yalikuwa kwenye makongamano na tume iliyaanisha sasa yalihusu uchaguzi wa Burundi au Tanzania maana sijasikia kalipio lolote lilotolewa na tume ya uchaguzi kuhusu lugha ilitumiwa na mtu tuliyemuheshimu kama mzee Mkapa.Tunasubiri majibu yenu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Naomba TFDA wazuie matumizi ya viroba katika kipindi hiki mpaka tarehe 26 October ama sivyo tutasikia lugha nyingi za ajabu fanyeni hima.
  9. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Waswahili walinena "Mkisitaajabu ya Musa mtaona ya filauni "
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Ndiyo wapumbavu mmezubaa mpaka Kiwira na Meremeta zikakomba hela.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, hongera Kikwete kwa uboreshaji Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Tatizo vipaumbele hakuna dharau yoyote.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, hongera Kikwete kwa uboreshaji Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Lile deni la MSD lilishalipwa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, hongera Kikwete kwa uboreshaji Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Na hospitali za wilayani na zahanati za vijini hali ikoje maana huko ndiyo kwa walala hoi . Muhimbili hapo ni fast track
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere dhidi ya Mapacha watatu (RACHEL)

    Waheshiwa Makongoro na Nape hawa ndy majasiri wanapaswa kuvikwa nishani walijitoa muhanga maisha yao kwa ajili ya wanyonge mungu awabaliki Tuko pamoja katika vita vya kupinga ufisadi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

    Nape safari hii nimekukubali mtoto wa Marehemu umepigana kiume Umefungua goli la Mkono na tumelikubali.
Back
Top Bottom