Recent content by MAMA TRIPLE L

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Safi sana Magufuli endelea kutumbua tuuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Jamani acha wakomeshwe kabisa, maana inauma sana mzazi unajinyima ili mtoto asome halafu jitu zima linakuharibia mtoto. Watoto wa umri wa Sekondari wanakuwa na mabadiliko kwenye miili yao, mojawapo ya kazi ya waalimu ni kuwasaidia watoto wanapokuwa katika kipindi hicho sio kuwaharibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa Afariki hospitali Sinza Palestina kwa kukosa dripu ya MAJI

    Uchunguzi ufanyike vizuri tupewe taarifa kamili, kwa maana maji ya kumtundikia mgonjwa sio kitu cha kukosekana hosipitali labda waseme dawa au kitu kingine
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yashusha bei ya sukari mpaka Tsh 1,800/=

    NI KWELI KABISA
Back
Top Bottom