Tumekuwa tukitofautiana sana na mpenzi wangu lakini baada ya kukaa kimya kwa muda nikitafakari niamue nn cha kufanya juu ya maisha yangu niliwaza kabla sita make decision embu nijaribu kuwa mjinga.
Kujishusha na kusuputu kusema SAMAHANI kwa yote nilio tenda kwako naomba tuanze upya maisha yetu...
Mume wangu ni mkurya nampenda sana kwa sababu nikifanya kosa ni mkali sana inanifanya atamimi kujitaidi kukaa kwenye mstar kwa sababu sitaki kumuuzi,
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Boys sizan kama mnajua kinacho waponza wasichana au wanawake ni true love,when a woman loves she loves for real,sasa kama kuwapenda imekuwa kosa na kuwafanyia haya kaamjue wawanawake huwa hawajali vitu niwepes wa kugive up, nanyinyi ndio huwa mstar wa mbele kuwa danganya ili muwapate kiurahs,na...
Jishushe tu,hao wanao kufua ndio level yako,kuna mda wasio kufuata na wenyewe watajishusha wafanane na wewe kuwa mpole wape muda.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Mwanamke kuonyesha hisia nikawaida lakin inategemea na mtu anaonyesha kwa style ipi!wanawake ujeur unaotokea mara nying ni ule unafonya kama kitu ukipendi una shauti,lakin mkiongea kwa taratibu ukuona onyesha hisia zako ni njema zaidi na wala hamtagombana.
Sent from my BlackBerry 9380 using...
Kuna wanaume ambao hawabebeki kamwe na wapo wenye hila za ajabu,ukishaona mumeo yupo hivyo cha kwanza kabla ya kufanya maamuz tafuta siku ukaenae muulize hv tatizo nn umekuwa hv,jaribu kumkumbusha historia yenu mlipo kuwa mkiaidiana kuja kuishi pamoja,mkumbushe siku ya ndoa yenu jinsi ambavyo...
Wakina dada,kama unaona mambo ya mekushinda acha,inakuwa aina maana mlianza kwa kungata vidole muachane kwa vipigo,ukiona mwanaume aelekei na wewe kujishusha uwezi move on,
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Ee twendekazi mwenye swali uliza usiogepe,nipo kwaajili ya wana jamii.tunaelekezana na kuwekana sawa kwenyefamilia zetu
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Mdekeze mwenzio hata muda ukifika wa zamu yako asipo kudekeza muulize mbona mi huwa nafanya kwako,na mimi nataka.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.