Recent content by Mama queen

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya tzs 15m kwa atakayefanikisha kupatikana kwa gari kubwa lililoibiwa na mzigo

    Pole sana ndugu yangu,nakupa ushauri wa bure,Polisi wadogo wadogo watakusumbua sana tena sana,watakulia hela mpaka basi tena hata ukipeleka information iliyojitosheleza hawaifanyiikazi wanataka wewe ndo uwe mpelelezi, na hao wa central kwenye kitengo cha wizi wa magari ndo watakudanganya hadi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbegu nzuri ya mihogo

    Asante kwa ushauri Malila,nitaufanyia kazi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbegu nzuri ya mihogo

    Habari wadau,nina shamba maeneo ya Mapinga karibu na Bagamoyo lenye ukubwa wa ekari mbili,natarajia msimu huu wa kilimo kupanda mihogo,hivyo basi ninaomba mnisaidie ni mahali gani ninaweza kupata mbegu nzuri ya mihogo,au hata kama kunamdau yeyote anaweza kunisaidia kwa ushauri,asanteni na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wenyewe

    Wenyeji mpo?mgeni nabisha hodi.
Back
Top Bottom