Recent content by MAMA POROJO

  1. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Pont kana CCM wamekosea wataja jina la mgombea sahihi kati ya 71 kama sio DR TULIA
  2. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    DR TULIA NI SAHIHI KABISA NA ATAPITISHWA NA BUNGE.
  3. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Wajumbe kutoka znz ni 67 sio idadi hiyo aliyosema jamaa
  4. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    JAMBO LA SITA wateja tunaumizwa unapiga simu kabla ya kupokelewa huku bado simu inaita unakuta pesa zako zimeanza kukatwa. Nakumbuka kuna siku nimepiga simu nimesubiri dakika 200 yaani dakika takribani 3 ndio ikapokelewa. Muda wote wa dakika 200 umechukuliwa wakati nilikuwa sijaanza kuongea na...
  5. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuhimiza watu wa Iringa wajikinge na UKIMWI!

    Ndio sababu tunasema wapinzani wanahangaika kila kukicha kumsaka Magufuli wapi kwa kumkosoa huku majimboni mwao kuna shida zinawakabiri wapiga kuta wao. Ningetegemea mbunge kanisumbua serikali kila kukicha amsaidie kupeleka dawa na wataalam wa kuelimisha kuzuia ukimwi
  6. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Waraka wa chadema umepenyezwa kupitia kwa Askofu mkuu SHOO wa kutoka Kilimanjaro
  7. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Askofu mkuu SHOO ndio kahongwa na mchaga mwenzake Mbowe analisaliti kanisa kama YUDA ESKALIOTI alivyomsaliti Yesu kwa fedha
  8. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Nguvu ya chadema
  9. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Kweli kabisaaaa
  10. MAMA POROJO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Uzi huu unahusu mvutano wa KKKT najaribu kueleza chanzo cha mvutano KKKT
Back
Top Bottom