mimi binafsi naishukuru sana bima ya afya ya taifa na hata nikikosa dawa hosptal kuna maduka yana huduma hizo kwa hiyo nikiugua na sina pesa bado ni na amani
mmmh wa umbwe nn wewe? kwa taarifa tu barua zenu tulikua tunazisoma prepo mbele ya darasa zima haswa zile mlizochapia kingeredha! hahaha mkuu niekumbuka mbali sana
weruweru mlezi wa wengi wanawake mbalimbali umewanyonyesha wachangia kuendeleza taifa letu sifa zako Tanzania hata nje za sifikaaa.
Mpe dogo hongera kwa kuchaguliwa weruweru. shule ipo mailisita nje kidogo tu ya moshi. Uniform zinabadilika mara nyingi zinatolewa shuleni ila asisahau kubeba...
nakuombea kwa Mungu ufanye maamuzi ya kuondoka kwa huyo bwana mapema sana kuliko unavyopanga. Utakuja kufa na magonjwa ukamwacha huyo mtoto mwenyewe. Plz hurry up hapo huhitajiki rafiki yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.