Aliyeandika hii article Ana mawazo ya kijinga sana. South Africa ina haki ya kutetea na kuchukuwa hatuwa ikiona haki ya binadabu inavunjwa.. Watoto, wazee na watu wasiokuwa na hatia wanauwawa huku dunia inaon. Wewe ukiwa mmojawapo. Ona AIBU kuiita Africa ya kusini wanafiki. Mtu YEYOTE anayeona...
Hii imekuwa njia mojawapo wa vigogo wachache wanatengeneza mikataba mibovu ya uwongo, wakijuwa hakuna nia ya kuutimiza na wanajuwa Tanzania haina uwezo ama wana sheria wenye elimu ya kutosha kuitetea nchi, ili Tanzania ishitakiwe, na fedha zilipwe wachukuwe mukato wawo. Tanzania Kama nchi...
MBONA umesahau mengi? Tanzania unayoiona Leo. Inayowaka mataa ni MAGUFULI. Tanzania unayoiona Leo kuku Sanyu fedha nyingi kutoka kwenye madini yetu ni MAGUFULI. Thamani ya Tanzania na kuwa na credit mzuri na uwezo mkubwa kulipa madani yetu ni MAGUFULI. TANZANIA SIO MASIKINI. KATUDHITISHIA KWA...
Hakuna lolote kwenye upinzani. Chadema ni chama kimejaa mafisadi wasiokuwa na sifa za uongozi. . Wamejipanga kuchukuwa serikali ili nawo waitafune nchi. .
Hayati Magufuli alikataa kujiunga na Kundi hili dogo la wadhurumaji wa Mali za wengi . Pande zote ndani ya CCM na CHADEMA, vimejaa mafisadi.
Tanzania kwa sasa haina chama cha kutegemea, wote wanakula pamoja. Kumbukeni safari za Kikwete za Ulaya alisafiri na wapinzani. kulikuwa hakuna kelele...
Mabadiliko hayasaidii. Mtu akishaiba mabilioni ya walipa kodi, na kubadirishwa bila ya kushughulikiwa na akaondoka na fedha za watanzania, haina maana wala haisaidii kuogopesha wengine walioko madarakani. Yeyote atakayechaguliwa kuiSHIKS nafasi hiyo, hatakuwa na woga wa kuiba na kubanduka na...
Musisahau ni madakitari wa kitanzania ndiyo walio okowa maisha ya Lissu. Hakuna mtu angefaidika Lissu kufa zaidi ya Mbowe ambaye walipingana kwenye chama chawo Kwa matumizi mabaya ya fedha. Kila kukicha Magufuli mtu ambaye hawezi kuwajibu. Pambaneni na maisha yenu mpaka na nyinyi siku yenu ya...
Lissu asiangalie mbali. Uchunguzi wa tukio unaanzia na motive. Magu alikuwa hana motive ya kumpiga risasi Tundu Lissu. MAGU alikuwa ni Mkuu wa majestic na ni Rais, asingepoteza risasi 16 kama munavyodai Kwa Lissu. `Lissu asiangalie mbali wakati chama chake kina Gaidi anayeitwa Mbowe. Huyu...
Kama kuna uonevu na kisasi ni kesi ya Sabaya. Wanaojidai kutetea haki za binadamu ndiyo wanazivunj. Huyu mkuu wa mashitaka hana aibu kuitumia offisi ya mashitaka kama mali yake. Ninayemulaumu ni Rais Samia kukaa kimya wakati watu aliyewapa madaraka wakionea Watanzania wenzao. Gaidi Mbowe...
It is a good idea. Lakini kwasababu ya ufisadi, tunachaguwa wawekezaji wasiokuwa na sifa. Hakuna muwekezaji wa maana atakuja kuwekeza kwenye nchi inayonuka rushwa. Hakuna muwekezaji atakuja kuwekeza kwenye nchi isiyokuwa na (manpower). Hakuna muwekezaji mpenda haki atakuja kuwekeza kwenye nchi...
Ubaya Rais anatenguwa kwa kusikiliza minong’ono ya uwongo wa watu wanaotaka nafasi hizo Kwa wenyewe na jamaa zawo. Watu wanatenguliwa Kwa uwongo. Kuna mtu anaweza kunielezea kesi ya Kakoko iliishia wapi? Je alishitakiwa Kwa uwongo uliosejeiana kakutwa na Mabilioni ya dolla? Rais anatumbuwa bila...
Rais anateuwa Kwa kujuana na sio kwa ujuzi. . BWAWA la Nyerere leo hii limekwama Kwa kuteuwa watu wenye historia ya udanganyifu. Tanzania hatuna bunge, bunge halina sauti. Kuna uwoga mkubwa sana Kwa watu kuzungumuza, Kwa kuogopa kutenguliwa. Kwa sababu ya fitina na majungu, na uwoga wa...
Tundu Lissu haridhiki na chochote mpaka awe Rais. Sijuwi ni nani atampigia kura? Watanzania wengi WANAMUCHUKIA kwa matusi anayomutukana Hayati Magufuli. Raisi aliyekuwa kipenzi cha Watanzani. LAWAMA zisizokuwa na ushahidi. Hata waliokuwa wakimuonea huruma hawamuonei tena Huwezi kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.