Recent content by Mama Naa

  1. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    Mwandishi anataka kusema kwamba Nchimbi alikuwa mtu aliyekuwa na msimamo wake mwenyewe, hakufuata tu kila kitu alichoelekezwa na mfumo au chama. Alidai mabadiliko ya Katiba, alitetea wananchi na viongozi wa upinzani, na alipinga vitendo alivyoviona kuwa vya ukandamizaji. Ndiyo maana...
  2. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    we Mzee umekuwa MUONGO sana, labla hujui maana ya Sovereignty! Hapo umesema serikali mbili, Serikali ya Tanganyika Iko wapi ?? Serikali ya Tanganyika ilizikwa 1964 hali ya kuwa serikali ya Zanzibar ipo mpaka Leo. Ninyi wazee ni wapuzi sana Bora kizazi chenu kife chote tuanze upya.
  3. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshauriana na kupata ruhusu kwa nani kutuletea wageni eti kuja kuchunguza mauaji ya Oktoba 29, 2025?

    Sawa we unayejua mambo , sasa Kwa nini iwe Namibia na Uganda na sio Marekani na Kenya ? Na hao Marais wa Namibia na Uganda juzi tu walikuwepo Tanzania. Hiyo ni tume nyingine ya mchongo Danganya toto. nini
  4. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Hii Hii nchi ni ya ajabu sana, mambo ya afcon wameyavalia njuga wakati mashuleni miaka 60 ya uhuru bado watoto wanakaa chini.
  5. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania CCM wawasifia Mbowe, Mrema kwa “upinzani mkali”

    ukiona wamesifiwa na ccm ujue hawakuwa Wapinzani Bali ni TISS agent.
  6. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM walifanya kosa kubwa sana kukubali kuendelea na uchaguzi mkuu bila CHADEMA

    Sasa acha wavune walichopanda.
  7. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM walifanya kosa kubwa sana kukubali kuendelea na uchaguzi mkuu bila CHADEMA

    Tatizo wabongo tukiwa jikoni tunakuwa na kibri na jeuri balaa. Wanaccm Wana kiburi sijapata Kuona na Huwa hawaangalii ya kesho.
  8. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Nani Amehodhi fedha? Mzunguko wa pesa ni kipengele Mtaani!

    Na wewe mwana ccm inaivua nguo serikali!! tutakupa kesi ya ugaidi sasa hivi au tukufute uanachama.!?
  9. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza Mawaziri kutoa Taarifa Sahihi kwa Wananchi

    Hakuna jipya na hakuna jipya Kila siku ni uongo uongo tuu.. Bajeti ni Kwa ajili ya viongozi kula Bata na kupiga 10%. Itafika 2030 hakuna la maana walilofanya hakuna bima ya afya Wala kuboresha Elimu ndio wataanza kujipanga kuiba uchaguzi.
  10. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Kama maandamano yamepigwa marufuku, sasa haya kusema Heche kajinufaisha mmewezaje kuruhusu?

    Yaani wanachama WA CCM ni vichaa kabisa na hawana hoja. Chadema imewakaa mno kuliko kuwasimamia mawaziri wapigaji huko waache upigaji.
  11. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Kama maandamano yamepigwa marufuku, sasa haya kusema Heche kajinufaisha mmewezaje kuruhusu?

    Acha na mume wako Heche wewe nenda Kwa mwenyekiti wako muuaji.
  12. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali iliyopo nchini jambo hili hakuna hudi lifanyike. Kuna mambo muhimu ya kufanya kutoka kizazi hiki

    Mawazo kama haya ndio ilitakiwa Waziri wa Elimu ayafanyie kazi, lakini yeye yupo busy kwenye semina za kulipana posho zisizo na tija lollote Kwa nchi hii.
  13. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali iliyopo nchini jambo hili hakuna hudi lifanyike. Kuna mambo muhimu ya kufanya kutoka kizazi hiki

    Serikali ya ccm kamwe haiwezi kutoa Pesa Kwa ajili ya hilo jambo, mtaala ulioboreshwa mpaka sasa hakuna la maana lolote linaloendelea mashuleni. Serikali ya ccm ni kansa ya maendeleo ya Nchi hii wapo tayari kutoa Mabilioni kununua Wapinzani lakini sio kufanya la maana.
  14. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Mwanza: CHADEMA yaingia mitaani kusaka ToneTone, hela zajaa viroba, ulinzi waimarishwa

    Kama hilo Lina ukweli ninyi mbwa ccm msingekuwa mnapora uchaguzi. Sasa Kwa nini mnazuia mikutano ya kisiasa?? We jamaa unaongeaga kama akili zipo matakoni.
  15. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

    You nailed it all.
Back
Top Bottom