Recent content by mama mhaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Frem inahitajika au eneo dogo kwa ajili ya biashara

    Natafuta sehemu ambayo nitaweza kufanyia biashara ya chakula (mama lishe) na vinywaji baridi. Eneo liwe sehemu yenye watu wengine kama stendi, vyuoni, mashuleni, nk. Iwe mkoa wa daressalaam
  2. M

    JamiiForums Tanzania hodiiii humu ndani

    karibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania hodi

    karibu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uwalimu kwa Non-graduate, naomba kufahamu

    hakuna cho kisichokamata wanafunzi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uwalimu kwa Non-graduate, naomba kufahamu

    ulikuwa unasoma philosophy with education? Ile course kama hujui kuargue lazima ukamatwe tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa kuku wa mayai

    Asante dada NEEMA ngoja niku pm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa kuku wa mayai

    Habarini wapendwa, Mimi ni mjasiliamali mpya kabisa na nataka kuanza na kuku wa kisasa wa mayai hivyo naomba mnisaidie yafuatayo, Nataka kuanza na kuku 500(vifaranga) nahitaji mtaji kiasi gani mpaka watakapoanza kutaga? (Banda lipo) Je kuna uwezekano wa mimi mwenyewe kutengeneza chakula...
Back
Top Bottom