Recent content by mama kokuu

  1. M

    Natafuta laini ya tigo pesa na max malipo

    Ww sema unauza sh ngap au nipe namb yko nikupigie
  2. M

    Natafuta laini ya tigo pesa na max malipo

    Jamani natafuta mtu anaeuza laini ya tigo pesa na mashine ya max malipo
  3. M

    sungura

    Ungeweka namba ya cm ndugu yangu biashara gn hyo unajieleza nusu nusu.
  4. M

    Nyumba nyumba nyumba

    @ nyumba ya kifahari inapangishwa inapatikana maeneo ya kibamba gogoni karibu na kwa mzee kawawa. @ ina vyumba vinne(4) vya kulala na ikiwemo master bed room mojana choo na bafu ndani. Maji ya bomba na tank la lita 1000. Kwa mwezi ni laki tatu(300,000). NOTE: HAINA DALALI Kwa mawasiliano piga...
  5. M

    Whole sale and retail

    WHOLE SALE &RETAIL HP,,SONY,,LG AND TRANSCEND USB FLASH 2GB-------------9,000/= 4GB-------------11,000/= 8GB-------------14,000/= 16GB------------20,000/= SAMSUNG GALAXY TREND DUOS---350K SAMASUNG GALAXY S1--------------300K HP OFFICEJET PRINTER 4 FUNCTIONS(PRINT,FAX,COPY,SCAN)---450K IPAD AND...
  6. M

    Toyota surf 6 million

    haina accident na kutumia mafuta lita 45 mpaka arusha nina uhakika kwa kuwa nimeshasafiria mimi na kwenda chalinze na kurudi ni lita 15 kwa kuwa ninamradi wa kuku wa kienyeji huwa nawafata chalinze kila j5 pale sokoni
  7. M

    Toyota surf 6 million

    toyota surf 2l diesel engine type manual gear 4wd dar to chalinze lt 7 dar to arusha lt 45 vibali vyote inavyo haidaiwi inauzwa millioni 6 kwa mawasiliano piga namba 0714198500 0712419419​
  8. M

    Kuku wa kienyeji kwa bei nafuu

    Kuku wapo kiluvya gogoni na ni wakubwa wanataga,vifaranga sina
  9. M

    Nahitaji mayai ya bata

    Nahitaji mayai ya bata kwa mawasiliano piga namba 0712419419 0714198500
  10. M

    Nani mkali kati ya diamond na bobjuniour? Wana jf

    Huwez kumfananisha diamond na bob j diamondi ni mbingu na bob j ni ardhi bado sanaaaaa na afanye kaz ya ziada
  11. M

    Kuku wa kienyeji kwa bei nafuu

    Jitapie kuku wakubwa wa kienyeji kwa bei nafuu ya elfu kumi(10,000). Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0713351007 0762656348
  12. M

    Kuku wa kienyeji kwa bei nafuu

    Jipatie kuku wa kienyeji wakubwa kwa bei nafuu ya elfu kumi(10,000) Kwa mawasiliano piga 0713351007 0762656348
  13. M

    Nissan million 5

    Kuuza k2 kwa bei rahisi cyo lazima Kiwe cha wizi au kibovu.na kama ni mbovu m2 c unaacha maana hulazimishwi unaruhusiwa kuja na fundi wako na details zote za gari zipo utaenda popote kuhakiki kama ya wizi au la msiwe na mawazo mabovu kila wakati NI MAMBO YA MAISHA TU
Back
Top Bottom