Recent content by Mama Klaree

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kimasai za kupunguza mwili

    shukrani kwenu kwa maoni haya mazoezi ni muhimu. mbarikiwe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kimasai za kupunguza mwili

    asanteni sana wadau. shukrani ila sasa hayo mazoezi ya kufanya kupungua ndo yepi maana naruka ruka kutwa kama chura na nnahofia kupungia chini tu juu kukabaki. nafanyaje kupungia na kifua au juu in general
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kimasai za kupunguza mwili

    habari wadau. naomba kujua napataje dawa za kimasai za kupunguza mwili zile wanasema ukila unaharisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    mimi nywele zangu hukatika mara kwa mara na ni za vrown. nipake dawa gani kuzirutubisha?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

    friends with benefit maana take ni marafiki ambao wanasaidiana kimwili as in sex ila hawana feelings zozote baina yao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu mwili sio ndugu zangu, nisaidieni mawazo

    na kama unae ningependa kujua kama huwa anakuambia kuhusu mwili wako na anakupa vyote unavyovihitaji na umeridhika.? kwasababu cha msingi ni kuridhika na kuridhika tu inaanzia kwenye msingi maana unaweza ukawa unaridhika na mtu ambar hujapenda sana kuwa nae
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huu mwili sio ndugu zangu, nisaidieni mawazo

    usijali kijana mimi ni daktari wa saikologia na mara nyingi hii hutokana na kujiandaa kiakili kuna vijana wenzako wengi sana walikuja na tatizo kama lako na wamesaidika sana.kwa kuanza ningependa kujua kama una mpenzi au mwenza?
Back
Top Bottom