Wema kila mtu hapa bongo anajua Daimond ni mtu wako sio lazima utumie nguvu kubwa kulithibitisha hilo, wasanii wote wana wapenzi wao ushawahi kuona wamepanda nao kwenye hayo mafiesta kukata viuno?
Mwanamke stara, kaa tulia home au fanya shughuli zako mwache mzee afanye mambo yake, sasa wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.