Recent content by mama kazi

  1. M

    tujenge urafiki na waume zetu

    muda muafaka wa kujenga urafiki na mumeo ni wakati wa uchumba,unajua kipindi cha uchumba ni kipindi cha mapenzi motomoto ambacho unaweza kuwa huru zaidi na kipindi hicho ndicho kipindi ambacho kitaleta picha ya mbele ya wewe na mumeo ,kitendo cha watu kuficha tabia zao ndiyo chanzo cha majuto...
  2. M

    ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

    naomba ushauri hivi kwanini wanawake wa nje wanapenda sana kuwa na vimbelembele vya kutaka kujulikana kwa mwenye mali tena kwa bwebwe na kwanini wanaume mara nyingi hushindwa kuwacontroll waache hivyo vimbele front.
  3. M

    ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

    usimuache cha kufanya tafuteni stahili za mtu mwenye maumbile kama hayo kumuacha ni dhambi hata yeye hakupenda awe na big bakuli jamani tena ukipata stahili zake utaenjoy vya kutosha
  4. M

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    Ulimboka kweli ana wazazi au ndugu wagonjwa kweli ? Ila mungu ndiye muweza wa yote hakika ninaamini atatulipa hapa hapa duniani ila nampa pole lakini asa kama madaktari wenzake wangeshikilia msimamo aliowapa wagome angetibiwa na nani leo? Sijajua dawa katumia za serikali au la? Lakini...
  5. M

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    nami naomba mnisaidie huyu ulimboka ni nani jamani? MBONA HANA HURUMA NA WATANZANIA MASIKINI TUNAOTEGEMEA HUDUMA HIZO HIZO ZA KUCHECHEMEA THEN YEYE ANAZIZUIA TENA ETI WAGOME HAYA WACHA TUFE WOTE WABAKI MADAKTARI NA FAMILIA ZAO WAISHI MAANA KILA KITU KITABAKI SI NDIYO WAHAITAJI MASILA I
Back
Top Bottom