Recent content by mama hepache

  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

    Mimi kaka Yangu wa pekee alitoweka miaka 7 sasahivi hatujui alipo. Mambo haya yanaumiza sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Kwanini wenye nyumba wana usumbufu hivi?

    Huyo mwenyewe nyumba atakuwa anawafilisi. Kazi kweli kweli.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Skimming ya Cement Vs White Cement

    Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Madagascar-Covidal bado inafanyiwa majaribio tu?

    Ninachojiuliza zaidi mbona Madagascar nao Corona imekuwa kubwa? Yani Kama Wana dawa kwanini haiwasaidii?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wiki 2 za kupigania Uhai wangu dhidi ya Covid-19

    Tupe picha ya dawa Basi usaidie wengine Basi. Pole kwa kuumwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yasema tathmini waliyofanya imebaini ni ngumu kuongeza saa 2 za masomo, Shule zaelekezwa kufuata ratiba za masomo 8 kama zamani

    Jamani kutoa mchango wa chakula cha mtoto wako nako unasubiria serikali?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kushindwa kupumua yanaua watu kimyakimya

    Navaa Kama kawaida, maana ukifa anayepata hasara si serikali ni familia yako. Tuchukue tahadhari, maana Mimi binafsi nimeshapoteza mtu muhimu sana kwa tatizo hilo, na bado watu kwenye familia wameumwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, mwanao amefurahia kuanza masomo leo?

    Hapo ndio unapotakiwa kujiongeza, akili ya kuambiwa changanya na yako.!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Lkn mleta mada muda si umefidiwa? Watoto wameongezewa masaa ya kusoma na muda umeongezwa mpk December 18,lifikirie ili Jambo kwa kina utaona Kuna haja ya kulipa ada tu. Na Kama na watoto wamepata kazi za shule walipokuwa likizo Ni sawa tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Lkn mleta mada muda si umefidiwa? Watoto wameongezewa masaa ya kusoma na muda umeongezwa mpk December 18,lifikirie ili Jambo kwa kina utaona Kuna haja ya kulipa ada tu. Na Kama na watoto wamepata kazi za shule walipokuwa likizo Ni sawa tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya anayedaiwa kumchoma moto mke wake kwa gunia mbili za mkaa imeiva

    Pia hajahukumiwa ndio sababu anapata ruhusa ya kuvaa nguo zake za kawaida.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuua mchwa wanaojenga ndani ukutani

    Usiseme hivyo mi nimeweka zege ya hatari lkn mchwa kibao, mpk na dawa nilikorogea zege lkn hakuna kitu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

    Mbn ametajwa hapo juu? Someni Kichwa Cha habari vizuri.
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

    Kuzikwa ameshazikwa lkn habari ndio hiyo kila siku, mbn hawasemi kashazikwa?
Back
Top Bottom