Recent content by mama grace

  1. M

    Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

    Hicho chuo cha Ka,we kimefungwa. Kimefungwa
  2. M

    Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

    Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
  3. M

    Ndoa zenu zipoje?

    Jipende. Usimjali Fanya kazi kwa bidii jitegemee kwa kipato chako, anakudhaeau kwa sababu anaona huna jinsi ya kufanya jwa sababu unamtegemea 100%
  4. M

    Msaada: Dawa ya manjano kwa mtoto

    Nipo Dar. Mtoto wa kiume
  5. M

    Msaada: Dawa ya manjano kwa mtoto

    Walimpima hakuna shida nyingine
  6. M

    Msaada: Dawa ya manjano kwa mtoto

    Nimejifungua mtoto maziwa yalichelewa kutoka mtoto alipata manjano. Nilimpeleka hospital wakamuweka kwenye machine ya kutoa njano. Ninamtoa asibuhi juani ila naona bado haiishi. Nomba mnisaidie dawa ya njano hata kama niya kienyeji nataka iishe kabisa.
  7. M

    Hali ngumu. Naona familia yangu inaenda kuaibika, nahitaji msaada

    Kama watoto wapo private waambie hali halisi unayopitia waamishie shule za serikali mambo yaki kaa sawa utawarudisha
  8. M

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    Roho za ushoga zinaanza hivi hivi mtu anaanza kutamani kuwa mwanamke, kemea hiyo roho. Harafu unadhani kuwa mwanamke ni rahisi. Majukumu ya kuwa mama unadhani ni rahisi? Kamuulize mama yako atakujibu
  9. M

    Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Wazazi huwa tunaangalia shule inayofanya vuzuri bila kuangalia vitu vinginr. Kuna rafiki yangu nilimshauri amwamishe mtoto shule ya karibu aachane na huo ujinga. Ndani ya miezi miwili mtoto alinenepa. Tunawapa watoto mateso sana
  10. M

    Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Kosa ni lako mzazi mtoto wa miaka minne unampeleka shule ya mbali. Hapo anakuwa wa kwanza kuchukuliwa na wa mwisho kurudishwa. Unaweza kukuta anawahi kutoka ila anazunguka mji mzima kurudisha wenzake. Mtoto mdogo unampeleka daycare za jirani za kutembea tu dada anampeleka saa saba au nane...
  11. M

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    Kama umemuelewa mtoa mada ni analalamika kihusu hela ndio maana ameweka na gharama. Halafu usidanganyike kuna uhusiano wa karibu sana kati ya muda wa kusoma na kufaulu. Kwa akili za watoto wa kizazi hiki bila kuwasimamia kusoma hawawezi kufaulu watoto wanaanza shule wadogo. Usifanamishe kizazi...
  12. M

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    Wazazi sijui mnataka nini? Watoto wakifeli mnalalamika waalimu wakiwasaidia watoto kujiandaa na mitihani mnalalamika. Hizo shule za private mnaona wanavyoandaa watoto na mitihani. Watoto hao wa private wanashindana na hao watoto wenu. Wazazi msipende vya bure wajibika kwa elimu ya mtoto wako...
  13. M

    Kama Elimu ni bure, kwanini Afya pia isiwe bure?

    Kwa kodi ipi? Unasikiliza budget ya serikali au unaongea tu. Makusanyo ya ndani yaani kodi hayatoshi budget ya mwaka ili budget itoshe kuna mikopo, fedha za misaada Nenda kwenye tovoti ya wizara ya fedha kaangalie budget yetu ya mwaka huu fedha ya kodi ni shilingi ngapi? We unadhani mataifa...
Back
Top Bottom